Klabu ya Yanga kupitia kwa Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, Eng Hersi Said amewasiliana na Kocha wa zamani wa Yanga, Singida United na Azam FC, Hans van der Pluijm ili kurejea kuifundisha Klabu hiyo. Pia Eng Hersi Said ameshamalizana na kocha mkuu wa Kagera Sugar Mecky Maxime kama kocha msaidizi.
No comments