"Narudisha shukrani kwa Mungu kwa kuamua niendelee kubaki kwenye ligi kuu ya England tena mwakani. Asanteni kwa wote mlioiombea kheri villa ili muendelee kuniona tena katika ligi hii pendwa." - Mbwana Samatta @samagoal77
No comments