Mama Alikiba Atoa Siri "Ali Kiba Alipokuwa Mdogo Ikipita Ngoma ya Mdundiko Anaenda Nayo Anapotea"
"Alikiba alianza kucheza tangu akiwa na siku 7, katika ukuaji wake alikuwa akisikia muziki anaufuata, sasa siku hiyo ilipita ngoma ya kiluguru, Ali akaenda kuokotwa Vingunguti kutoka Kariakoo hadi Vingunguti, siku nyingine ikapita mdundiko akakutwa Kigogo jinsi mziki ulivyokuwa kwenye damu yake, nikaenda kuripoti Polisi mara nne ila nashukuru Mungu nilimpata jioni" - Mama Alikiba ameiambia EATV
No comments