Waziri Ummy: Ahsante sana Rais Magufuli, namshukuru kwa kunijenga
"Natamani ningepata maneno mazuri zaidi ya kumshukuru Rais kwa heshma kubwa hii, hata hivyo nimekosa maneno hayo zaidi ya kusema Ahsante sana Mhe Rais Dkt Magufuli, namshukuru kwa kunijenga, kuniimarisha na kunifundisha kutokata tamaa.Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hili”-Waziri wa Afya Ummy Mwalimu.
“Jana Rais Magufuli alimpongeza Ummy kwa kusimama imara hususani wakati wa mapambano dhidi ya corona, JPM alisema
“tunamshukuru Mungu kuiepusha Tanzania dhidi ya corona, kwa namna ya pekee nampongeza Mwana-Mama Jasiri Waziri Ummy Mwalimu kwa uvumilivu wake, nilimtesa sana Ummy maana nilikuwa nampigia simu mara nyingi hadi saa 8 usiku, naomba aniombee msamaha kwa Mumewe”

No comments