Header Ads

Header ADS

Diamond Platnumz Aanza Mchakato wa Kumsaidia Babu TALE Awe Mbunge Morogoro Kama Alivyomuahidi...

Inasemekana Babu Tale kugombea ubunge nyumbani kwao mkoani Morogoro Kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika October mwaka huu, ikumbukwe kuwa msanii wake DIAMONDPLATNUMZ aliahidi kuwanae bega kwa bega mpaka mwisho hadi atimize lengo lake hilo la kwendaa kuwapigania WANANCHI wa Morogoro kama aliweza kumsimamia yeye mpaka kuwa Msanii mkubwa Barani Africa na Duniani, sasa ni muda wa kuwapigania WANANCHI



No comments

Powered by Blogger.