Header Ads

Header ADS

Wafikishwa Mahakamani Kwa Kujificha Juu ya Dari la Nyumba na Kumrekodi Mwanaume Video Akishiriki Ngono


Mwanamke mmoja na mpwa wake wamefikishwa Mahakamani nchini Uganda wakituhumiwa kuingia nyumbani kwa Mwanaume na kujificha juu ya dari kisha kumrekodi video wakati akijamiiana na baadaye wakamtaka alipe Mil 1.5 ya Uganda (zaidi ya Tsh.Laki 9), ili wasivujishe video hiyo.

No comments

Powered by Blogger.