Chama cha wafanyabiashara wa madini Tanzania kupitia kwa makamu mwenyekiti Thomas Munisi kimetoa tamko nakusema shilingi bilion 7.8 alizopewa bilionea mpya Saniniu Laizer hajapunjwa kama ilivyodaiwa na baadhi ya watu kwenye mitandao ya kijamii
No comments