KIMENUKA..Cardi B Ajibu Shutuma za Kufungua Akaunti Feki Instagram Kwa Ajili ya Kuwatukana Mastaa Wenzake
Staa wa Rap Cardi B, anaendelea kusema kuwa hawezi kufanya kitu cha namna hiyo kwa kuwa yeye si mtoto wa miaka 10, huku akisisitiza kuwa shutuma hizo hazimshitui kwa chochote.
Aidha, CardiB pia ameeleza kwa wote ambao watamsusa na kuacha kum-support kwa sababu ya shutuma hizo basi wafanye hivyo yeye hajali.
Cardi B anamalizia kwa kusema kuwa si mara ya kwanza kupigwa mikwara ya namna hiyo kwani hata mwaka Jana walishasema watamsusa zaidi ya mara nne.
No comments