Header Ads

Header ADS

Safari Nyingi ni Fungulia Dog kwa Wanandoa/Wapenzi...Kumegwa au Kumega Lazima

Enyi mlio kwenye mahusiano,
Nini hukujia akilini mwako mwenzi wako anapokuambia anasafiri siku fulani, iwe kikazi, kuhudhuria misiba au matukio mengine ya kijamii kama harusi n.k..? Laiti tungejua yanayofanyika nyuma ya pazia la hizo safari... tungewafungia CCTV camera hawa wenzi wetu. Hebu fikiria mambo yafuatayo
Asilimia kubwa ya wanaume wanaposafiri lazima wapashe viporo, tena wengine akikosa kabisa mpango wa kando wako tayari kwenda kuchukua mzigo bar.

Wanawake ambao michepuko yao iko mbali na mkoa au wilaya alipo, basi safari yoyote itakayotokea lazima ipangiliwe kuhakikisha lengo linatimizwa. Tena wengine hutumia fursa hiyo kubana bajeti kwa kwenda kulala kwa mwanaume japo alipewa helaya lodge au kwenda kulala kwa ndugu. Huwa nashanga wakati ambapo hata sikutarajia kubanjuka napigiwa simu na mwanamke ananiambia atakuja wiki hii kuna sherehe ya ndugu yao, au kuna safari ya kikazi, au msiba, au anakuja kuchukua mzigo wa biashara alafu ananiambia hajui atalala wapi kama nitamtafutia nafasi ya kulala. Anauliza hayo yote akijua kwamba mimi  naishi mwenyewe na tulishachokozana kiaina hapo nyuma, au tulishawahi kubanjuka enzi za nyuma, huenda kabla hajaolewa. Mimi napendekeza wanaume wake zenu wanaposafiri muwapunguzie hela ya kulala maana wengi hawazitumii kwa kweli kwa lengo husika. Badala yake wanaenda kupasha viporo huku mkidanganywa oooh, nimeenda kwa shangazi wa mbagala... kalaga bao

By Mtamumix

No comments

Powered by Blogger.