Header Ads

Header ADS

‘Ameiba tena?’Wakenya Wamkejeli Magix Enga Baada ya Kibao cha Tekashi 6ix9ine Kuwa Nambari Moja Kenya


Bila shaka Tekashi 6ix9ine ni miongoni mwa wanamuziki bora katika karne hii ya sasa, Tekashi jina lake kamili au ukiprnda halisi ni Daniel Hernandez ni rappa kutoka Marekani huku akitoa kibao chake cha pili baada ya kutoka gerezani.

Tekashi alitoa kibao abacho kinafahamika kama ‘Trollz’ huku akimshirikisha Nick Minaj, na kwa muda wa chini ya saa ishirini na nne kilikuwa kimetazamwa na mashabiki zaidi ya millioni,60.


Wiki iliyopita producer Magix Enga aliimba wimbo wake Tekashi wa ‘gooba’ huku ikimlazimu atoe kwenye youtube, hii ni baada ya madai kuwa kibao hicho kinatumia hakimiliki yake.

Wengi wa wakenya wameupenda wimbo huo huku wakimkejeli Magix aweze kusikiza kibao hicho hasije kusema kuwa msanii Tekashi ametumia mtindo wake na hata pia hakimiliki yake.

Baadhi ya kejeli ni kama vile zifuazo;

lv.sameej Nangoja Enga a claim beat ya 2 seconds.

brayan_saboreh @_ja_nn_ie we have good artists that don’t even trend lakini even Jesus was not welcome in his own hometown.

Brown Milax Magix Enga kindly come and confirm whether they’ve used your beats again 😂.

psycho_yazzy Wakenya na kutrendisha vitu😂.

Westland Candy They only have 69 and we have ethic, sailors and ochugulo hawaezi fikisha hizo views the whole year coz Kenya population is 47 million.

brayan_saboreh 😂😂😂 kenyans are good in making other artists trend lakini hawapendi wa kwao.

Gachie Gachie The G is on house arrest but still making the internet shake. 69 is a legend.

Felix Koskei Magix Enga swallowing bitterness gently hapa Ngara😅.

Photo Credits: radiojambo

No comments

Powered by Blogger.