Header Ads

Header ADS

Rais Magufuli "Bila Ukuta wa Marerani Tusingemjua Laizer"



"Tulipojenga ukuta Mirerani walitubeza, tumeshuhudia Laizer akipata jiwe kubwa na kuwa Bilionea, najiuliza huu ukuta ungejengwa tangu mwaka 1961 ingekuwaje?, najiuliza bila ukuta hilo jiwe kubwa tungeambiwa limepatikana? pengine hata Laizer angeuawa" JPM

No comments

Powered by Blogger.