Header Ads

Header ADS

Polepole Atangaza Tarehe ya Kuchukua Fomu ya Kugombea Urais na Ubunge




Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole,  amesema fomu ya urais zitaanza kutolewa kuanzia Juni 15 hadi 30, 2020.

Amesema nafasi ya ubunge ndani ya chama fomu zinachukuliwa kuanzia Julai 14 na mwisho wa kurejesha Julai 17, 2020.



No comments

Powered by Blogger.