Nimechapiwa Mke Wangu Kweupe Nasikia...Naitaji Ushauri
Mimi niko ndoani mwaka wa 7 sasa na katika kipindi chote hicho tumejaaliwa watoto 2 wa kike na kiume, mke ni mwajiriwa na mimi ni mfanya biashara. Tunaishi kwa amani na upendo na kwa tumefanikiwa kujenga na kila mmoja wetu ana usafiri wa kumfikisha kwenye majukumu yake na tunaishi na dada wa kazi hapa nyumbani.
Kwa kawaida mimi hurejea mapema zaidi kuliko wife nyakati za jioni na mara nyingi huwa natumia jioni yangu kutizama matukio ya kutwa Runingani. Wife akirudi hupitiliza kuoga ila mara nyingi hupenda kutumia bafu la nje ambalo lipo katika nyumba ya nje(service corter) ambayo ipo karibu na geti, Juzi hapo nikiwa natizama taarifa na habari nilipigiwa simu na jamaa yangu tunayedaiana kwenye biashara zetu na kwa kuwa kwangu hakujui ikabidi nitoke nje ya geti ili ninavyompa maelekezo auone mwanga wa siku na afike kirahisi, ile natoka getini nikasikia miguno ya mahaba ikitokea bafuni, nikashtuka.
Na muda huo wife alikuwa bafuni akioga kama kawaida yake kuogea bafu la nje. Kwa haraka nikahisi labda wife anajiridhisha kwa kujichua au anatumia uume bandia, Nikili mapema upande wa shoo najimudu nikimnyima sana basi ni 3 na yeye huwa ananisifia kwamba am good, Cha ajabu sikufikilia kama anaweza kuwa ananisaliti. Basi nikajikaza nimalizane na jamaa then nitafiti.
Jamaa wa kibiashara design alinichelewesha lakini wakati wa maongezi yetu jicho lilikuwa getini ili kama yupo na mtu bafuni nimdake na nilianzishe though siku hisi hili kuwezekana kwa jinsi huyu mwanamke alivyo so humble, mtulivu na asiye na tamaa na tuna aminiana sana.
We are friends na tumetoka mbali. Wakati narejea ile sijalifikia geti hamadi akatokeza mtu nisiyemjua ile kuniona jamaa akatimua mbio na sikuweza kumdhibiti wala kumtambua na alishtuka kwelikweli. Nilichanganyikiwa nikaingia ndani moja kwa moja chumbani na kumkuta wife na night dress, sikumuuliza kitu akanambia akanambia amechoka analala eti she was having avery long day.
Nikamwambia sawa nikachukua simu yake iliyokuwa charge bilabyeye kuona nikaenda naye sebuleni, basi huko ndiko nilikoiona mipango yote jinsi ilivyoratibiwa toka mchana, mbaya zaidi sio mara ya kwanza kugegedana ni wazoefu.
Sijamuuliza mpaka sasa nahisi nahitataji Ushauri kwanza kabla sijafanya jambo baya
No comments