Header Ads

Header ADS

Kim Jong Un Aagiza Shule na vyuo Kufunguliwa



Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameagiza shule na vyuo kufunguliwa nchini humo na kusema hakuna haja ya wanafunzi kukosa masomo kwasababu ya ugonjwa ambao haujulikani utaondoka lini Duniani, tayari wanafunzi wameanza kurejea darasani lakini bado tahadhari za kujikinga zinaendelea kuchukuliwa.

Mpaka sasa Korea Kaskazini haijaripoti hata mgonjwa mmoja wa corona lakini tahadhari zote zinaendelea kuchukuliwa ili kujikinga na virusi hivyo. “Maisha yanapaswa kuendelea, Watoto warudi shule, biashara ziendelee tuijenge Nchi yetu”

No comments

Powered by Blogger.