Mwijaku "Wanaume Wote Waliopita na Hamissa Mobetto Wamefanikiwa Kimaisha...Ndio Mpenzi Wangu Mpya"
Mwijaku aweka wazi kuwa kwenye penzi jipya na Hamisa Mobetto, asema wanaume aliotembea nao Mobetto wamefanikiwa kupitia mrembo huyo
Mwijaku ameongeza kuwa hakuna mtu atakuja kuwatenganisha yeye na Mobetto kwani anajua kamtoa wapi “Wanaume wote aliotembea nao Hamisa wamepata mafanikio kwa sababu yake “ Mwijaku ameiambia Bongo5
Mwijaku pia ameongelea kuhusu gharama ambayo Alikiba alimlipa Hamisa Mobetto kwenye video ya dodo na kusema kuwa alilipwa dola 12000 sawa na milion 25 za Kitanzania.
“Hamisa ndio msanii pekee anatembelea gari zero kilometer kaagiza kiwandani gharama ya mil 85 wasanii wote wanatembelea magari yametumika “ Mwijaku ameiambia Bongo

No comments