Header Ads

Header ADS

Mwijaku: Vanessa Amekosea Anaacha Muziki Kisa Mwanaume, Wasanii Wengine Wanatembea na Wazazi wao



Msanii wa Bongo movie na Mtangazaji wa Cloudstv @mwijaku ametoa ya moyoni baada ya @vanessamdee kutangaza kuacha muziki. @mwijaku amemuomba @vanessamdee kubadili mawazo yake na kufuta kauli ya kwamba mpenzi wake ROTIMI anampa furaha.

@mwijaku amesema kuwa @vanessamdee amekatisha tamaa ndoto za wasichana wengi sana waliokuwa wanataka kuja kuwa kama @vanessamdee kwani kwa sasa anaonekana ni loser. “Wanawake wanakosea sana wanapoamua kuacha kazi zao na kumtegemea mwanaume, wanaume watawatesa sana kama wana akili hizo mwanaume sio mtu wa kuambiwa nakutegemea kwa kila jambo atakuliza.

Mbali na hilo @mwijaku amezungumzia jinsi wasanii wanavyologana “kuna wasanii studio wanaingia kinyume nyume wengine wanatembea na wazazi wao hadi dada zao ili wafanikiwe kwenye muziki “




No comments

Powered by Blogger.