Mji Wenye Baiskeli Nyingi Zaidi ya Idadi ya Wakazi Ujerumani...
Munster ni mji ulioko Magharibi mwa Ujerumani, unaofahamika kwa kubeba majengo ya kihistoria na una idadi kubwa ya baiskeli ambayo ni mara mbili zaidi ya idadi ya wakazi
Kutokana na wingi wa baiskeli, kumetengwa maeneo ya maegesho katika maeneo mbalimbali. Kama haumiliki baiskeli katika mji huu jamii hukushangaa
Inasemekana watu wanamiliki baiskeli zaidi baada ya kuitikia wito wa kutunza mazingira, kwani magari na vifaa vingine vya moto hutoa gesi hatari kwa mazingira
No comments