Mbunge wa Bukoba Mjini,Wilfred Lwakatare amewataka wasomi wa CHADEMA kufanya tathmini kujua wanaongozwa na watu wa sampuli gani. Amewashangaa CHADEMA wanavyompinga Rais Magufuli kwa ujenzi wa miundombinu alioufanikisha wakati wao ukarabati wa jengo lao la Makao Makuu unawashinda
No comments