Baba levo "Nilivyoona Jack Wolper Anavyalishwa PETE na Yule Kijana Niliona ni Vitu vya Uongo..Wolper Kuolewa na Kijana Sio Handsome"
Diwani na msanii wa Bongo Fleva, Hitmaker wa ngoma ya YES/NO @officialbabalevo ameeleza kushangazwa baada ya kuona @wolperstylish anavalishwa pete.
@wolperstylish lazima angetafuta kijana mwenye hela kwa sababu yeye ana hela na ni mwanamke mzuri pia angetafuta kijana Handsome kidogo, yule kijana sio Handsome na hana Hela , nilivyoona tu pale nikajua hakuna ndoa pale
No comments