Kigwangalla Awacharua Wanaomsema Hajui Kingereza Asema sio Sifa Kuijua
Waziri wa Maliasilia na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla amesema kuna watu huwa wanajaribu kumkosoa lugha yake ya kingereza.
“Huwa nina washangaa sana maana kwanza siyo sifa kujua lugha hiyo mimi naitumia kama njia ya kuwasiliana tu,” aliandika Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter.
Aliongezea kuwa “Ningekuwa sijui kiswahili ana kikimbu na mtu akanicheka angekuwa na mantiki,”
Kuna watu huwa wanajaribu kukosoa lugha yangu ya kiingereza, huwa nawashangaa sana maana kwanza siyo sifa kujua lugha hiyo, mimi naitumia kama njia ya kuwasiliana tu! Ningekuwa sijui kiswahili ama kikimbu na mtu akanicheka angekuwa na mantiki! https://t.co/FZblggM9t9
— Dr. Kigwangalla, H. (@HKigwangalla) June 6, 2020
No comments