Atajirika Kwa Kusota Rumande Miaka Miwili
RC amuweka rumande saa 24 mhandisi wa maji | MtanzaniaMahakama kuu nchini kenya imeiamaru serikali ya nchi hiyo kumlipa fidia ya Tsh 100 bwana Athony Murini baada ya kukamatwa kimakosa na kuwekwa rumande kwa zaidia ya miaka miwili
Anthony Murimi alikamatwa mwaka 2015 kwa madai ya wizi wa kimabavu ambapo alikaa rumande kwa miezi 24 kabla ya kesi hiyo kutupiliwa mbali baada ya kukosekana kwa ushahidi
Amelipwa kiasi cha KSh. Milioni 4.5 kama fidia na nyongeza nyingine ya KSh. 500,000 baada ya kukamatwa na kukaa rumande kimakosa
Jaji wa Mahakama Kuu, James Makau amesema Ofisi ya DPP ilikiuka haki ya Anthony Murimi Waigwe kwa kumshtaki kwa kosa la wizi wa kimabavu bila ushahidi wowote
Jaji Makau aligundua shtaka hilo halikuwa na uzito wowote kwani mshukiwa hakupatikana na bidhaa zozote za wizi kulingana na ripoti ya kituo cha habari cha Citizen TV hivyo alidhulumiwa
No comments