Header Ads

Header ADS

JE Sauti Sol Wamekubali Kujiunga Freemasons? Soma Hili Walilofanya


Ulimwengu unaoonekana unaongozwa na ulimwengu usionekana kwa 100%.( Spiritual realm).

Nguvu ya roho wa Mungu hutoa yale ya ki Mungu na ya roho mchafu hutoa matunda ya kishetani. Ni wachache wanaoweza kugundua kwani mambo haya huja kwa namna ya usiri mkubwa.

Sauti soul wametoa wimbo wao uitwao "THE MIDNIGHT TRAIN". Kwa tulipata neema ya kuyajua mambo ya kiroho, hili ni garimoshi la wachawi na jamii za siri za kishetani km Freemasons ambao hulitumia kwa ajili ya kwenda kuzimu kufanya mambo yao. Pia treni hili hutumika na wachawi kusafirishia Misukule.

Sasa kwanini wametunga wimbo huu? Hiyo ni siri yao.Msione umaarufu wao unaongeza siku hadi siku mkazani ni bure bure. There is something going on between these guys and the Dark world.

Watch out guys! Si kila kitu ni cha kusikiliza na kutazama. Others are too demonic. Picha ya wimbo wenyewe inasadifu kila kitu nilichokieleza.

No comments

Powered by Blogger.