Header Ads

Header ADS

Hii Hapa Picha ya Dereva Aliyezama na Lori MTO Wami na Kupoteza Maisha...


Hii ni picha ya Marehemu Frank, Dereva ambaye amefariki na mwili wake kuopolewa baada ya kukaa zaidi ya siku 3 ndani ya maji tangu Lori ambalo alikuwa akiendesha lilipozama Mto Wami Ijumaa June 05, pembeni ni picha ya hilo Lori alilozama nalo ambalo hadi sasa bado halijatolewa ndani ya maji.

Frank alikuwa akitokea DSM kuelekea Arusha na ameacha Mke Mjamzito..


No comments

Powered by Blogger.