Header Ads

Header ADS

HAJI MANARA -"nitaacha kazi siku YANGA watakapochukua ubingwa"




HAJI Manara, Ofisa Habari wa Klabu ya Simba amesema kuwa ataacha kazi yake ndani ya klabu hiyo siku Yanga itakapochukua ubingwa. 

Manara amesema kuwa kikosi chao kipana na kina uwezo wa kushindana ndani ya ligi jambo ambalo linampa nguvu ya kuongea hayo. 

"Siku ambayo Yanga itachukua ubingwa ndiyo siku ambayo nitaacha masuala ya kuwa Msemaji wa Simba," amesema Haji. 

Simba ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 71 baada ya kucheza mechi 28 za ligi.



No comments

Powered by Blogger.