Chuoni Mwanafunzi Auawa na Mwenzie Wakimgombania Saida, “Wote Walikuwa Wapenzi Wake”
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga Blasius Chatanda amethibitisha kifo cha Mwanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma kilichopo Kange Hussein Ally aliyeuawa na Mwenzake Waziri Ramadhan kisa ni kumgombania msichana Saida Hussein kila mmoja akidai ni mpenzi wake.
Kwa sasa mwili wa marehemu upo katika Hospital ya Mkoa ya Bombo na Polisi bado wanamtafuta mhalifu huyo ili aweze kufikishwa mahakaman wakati huo binti Saida Hussein akiwa chini ya ulinzi wa askari.
No comments