TANZIA. Mke wa meneja wa Diamond, Babu Tale anayefahamika kwa jina la Shammy amefariki Asubuhi ya leo june 28,2020 akiwa Hospitali ambapo alikuwa amelazwa. Taarifa kamili kukujia hivi punde Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un
No comments