Header Ads

Header ADS

Bodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha USD Mil 14.3 za msamaha wa kodi wa madeni - JPM



“Bodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha USD Mil 14.3 za msamaha wa kodi wa madeni tuliyokuwa nayo, na ni kwasababu tulipambana vizuri na corona,msamaha huu umekuja wakati muafaka nimepanga nitamuandikia Mkurugenzi Mkuu wa IMF kwamba wametambua juhudi zetu”-JPM 


“Hizi fedha zilizoidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi ya IMF USD Mil 14.3 za msamaha wa kodi kwa madeni yetu,  tutazitumia kupambana na corona na pia tutazitumia kwenye mambo mengine ili corona isije tena, hata ukitengeneza Barabara watu wakapita haraka corona haiwapati haraka”-JPM



No comments

Powered by Blogger.