Header Ads

Header ADS

Alikiba "Tuzo ya Heshima Ningempa Dully Sykes"



Msanii wa bongo fleva jana usiku Alikiba alikuwa na Special Day kwa mashabiki wake kupitia YouTube Live, ambapo mbali nakuzungumzia ujio wa ngoma yake mpya, alitoa orodha ya ngoma ambazo anazikubali sana, moja kati ya hizo ni Mfalme ya Mwana FA akiwa G Nako Warawara |


Kupitia ‘Live Session’ kwenye Youtube channel ya kings music records na Alikibapia ametaja orodha ya ngoma anazozikubali kutoka kwa wasanii tofauti ikiwemo Prince Dully Sykes akisisitiza anahitaji tuzo ya heshima na angekuwa anatoa tuzo basi angempa.

Kiba ametangaza kuachia ngoma yake mpya iitwayo So Hot (Wamoto) leo June 08/2020

No comments

Powered by Blogger.