Rais Trump amesema licha ya kwamba haumwi corona ameamua kutumia hydroxychloroquine, Trump amekuwa akizipigia debe dawa hizo kuwa zinasaidia kupambana na corona licha ya Wanasayansi kupingana nae. “nimewauliza Madaktari wangu wakasema hazina madhara, natumia”
No comments