Mwijaku "Mtoto wa Tanasha ni Wangu Ipo Siku Nitafunga Safari Kwenda Kuchukua Damu Yangu"
Story Iliokuwepo Sasa Hivi Kati Mitandao ya Kijamii, Inadaiwa Kuwa Mtoto Naseeb Junior Mtoto wa Diamond&Tanasha, Mwijaku Anasema Kua Yule ni Damu Yake, Anasema Ipo Siku Atafunga Safari Kwenda Kenya Kufwata Mtoto Wake.
JE? Swala Hili Lina Ukweli Wowote kulingana na Kauli ya Mwijaku Alivyo Sema, Tuambie Hapa Tafadhali Maoni Yako.
JE? Swala Hili Lina Ukweli Wowote kulingana na Kauli ya Mwijaku Alivyo Sema, Tuambie Hapa Tafadhali Maoni Yako.
No comments