Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela amepiga marufuku madereva wa magari ya mizigo ya kutoka Kenya kuingia nchini kupitia mpaka wa Horohoro. lakini magari yatakayokuwa njiani kuelekea nchi jirani za Congo, Rwanda, Zambia na kwingineko yataruhusiwa kupita. VIDEO:
No comments