Header Ads

Header ADS

Katibu Mkuu wa TFF afika ofisi za TAKUKURU kuhojiwa



Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka nchini (TFF) Kidao Wilfred leo Mei 19, 2020 amefika katika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

Hivi karibuni Mkurugenzi wa TAKUKURU Brig. John Mbungo aliweka wazi kuwa wanaendelea kuwahoji watu mbalimbali kuhusu matumizi ya fedha zilizotolewa na serikali.

No comments

Powered by Blogger.