Mwimbaji Staa Juma Jux amefunguka kuhusu kuvunjika kwa uhusiano wake wa kimapenzi na mrembo mwenye Asili ya Asia, Nayka ambapo Jux ameeleza Sababu kupitia mahojiano ya Insta LIVE aliyokuwa akifanya na mtangazaji Shaffie Weru wa Kenya. BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMSIKIA AKIFUNGUKA
No comments