Header Ads

Header ADS

Heche "Wagonjwa Wameongezeka Madgascar au Kikombe chao Hakifanyi Kazi Kule Kwao"


Heche "Wagonjwa Wameongezeka Madgascar au Kikombe chao Hakifanyi Kazi Kule Kwao"
Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, amesema amesikia wagonjwa nchini Madagascar wameongezeka na kufikia 195.

Heche aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter huku akihoji au kikombe chao hakifanyi kazi kule kwao.

“Nasikia Madagascar wagonjwa wameongezeka wamefikia 195 au kikombe chao hakifanyi kazi kule kwao?,” aliandika Heche.

Jana serikali ilitoa taarifa ya kuwasili kwa sawa za kutibu na kujikinga na ugonjwa wa Corona ambayo imetengenezwa nchini Madagascar


No comments

Powered by Blogger.