Header Ads

Header ADS

Dully Sykes "Nawashangaa Sana Watu Wanao Ondoka WCB WASAFI eti Wanasema Wananyonywa"

Nawashangaa sana watu wanao ondoka WCB WASAFI eti wanasema wananyonywa... Yani mimi nipo nje napata sapoti ya kawaida nafaidika saana je ikitokea nimesainiwa niingie ndani sasa si ningefurahi saana hao wanaosema wananyonywa sijui wanahitaji nini labda hatujui..... "Dullysykes"

HEBU TUPIA NENO MOJA KWA DULLY.

No comments

Powered by Blogger.