"Watu wanataka kazi ziendelee, tunaondoa lockdown na tutafungua uchumi wetu kwa njia zilizo salama,Watu wataendelea kuosha mikono na kuepuka mikusanyiko, uchumi wetu utarudi kwa nguvu zote, hakuna Nchi yoyote Dunia ya kutukaribia kiuchumi hata hiyo China”-Rais Wa Marekani Donald Trump
No comments