Alinilipa Laki 8 ili Nimpe Mimba Kisiri Bila Mme Wake Kujua - Mwanaume Asimulia
Mwanaume mwenye asili ya kinageria kwa jina la Kosi Ugo hivi maajuzi aliwaacha wengi vinywa wazi katika mitandao ya kijamii baada ya kuelezea jinsi alivyokuwa katika mkataba na mwanamke aliyeolewa.
Kulingana na Ugo mwanamke huyo alijitolea kumlipa laki 816 ili ampachike mimba.
Kupitia ujumbe alioandika katika mitandao ya kijamii Ugo alidai mwanamke huyo hakutaka wanawe wafanane na mumewe
Jamaa huyo wa umri wa makamo aliwapa ushauri wanaume ambao wako kwenye ndoa kuangalia DNA za watoto wao kwani kuna uwezekano kkwamba wanawalea watoto ambao sio wao
“Last year, a newly married woman offered me KSh 816,000 to impregnate her. According to her, she didn’t want her children to take her husband genes, because he was short, bald and his family had traces of ancestral madness. Dear men; I heard DNA now ranges from between 50-100k. You do not need to inform your wife – just take strands of your children’s hair while they are asleep and present them at the hospital. There’s a huge chance that more than half of your children are not yours.” Aliandika.
Alikuwa akinikojolea na kunifukuza nje uchi.’ Mtangazaji wa zamani wa KBC Rachel Wainaina asimulia masaibu na mume wake wa zamani
Ni vijimambo ambavyo watu wengi hujipata katika ndoa na wanapogundua kuwa watoto hao si wao na kuchangia ugomvi na hata wengi kuwauwa wenzao.
Wahenga hawakukosea waliponena kuzaa si kazi bali kulea ndio kazi, kama vile wachumba wengi huamua kufunga ndoa na kupata watoto bila ya kujua majukumu ambayo yanawangoja.
No comments