"Inabidi tuwaambie ndugu zetu wa mikoani wabaki huko walipo kwa kipindi hiki cha janga la Corona tuvumiliane kutokana na hapa mkoani kwetu hali sio shwari, watu wanapukutika" -: Ameyasema hayo RC Paul Makonda
No comments