Header Ads

Header ADS

Mahaba ya Jenipher Kanumba na Patrick Kanumba Sasa Sio Siri Tena....

Mahaba ya Jenipher Kanumba na Patrick Kanumba yamepamba motoo... Ama kwa hakika penzi kikohozi.. Wameamua kujionesha Wazi wazi .. Na sasa sio siri tena

Wawili hawa wakiwa watoto walishiriki katika movies kadhaa za marehemu Kanumba ikiwemo ile maarufu ya Anko Jay Jay, Kwa sasa wawili hao wamekuwa na wako wanaendelea na masomo ya Chuo kikuu

No comments

Powered by Blogger.