Joseph Kusaga “Wengi Mnaona au Kusikia Kwenye Habari Kuhusu Corona, Mimi Nimeondokewa na Mtu wa Karibu Sana”
Founder na CEO wa Clouds Media Group @JosephKusaga amezungumza kwa mara ya kwanza toka afiwe na Rafiki yake (Iddi Mbita) aliefariki kutokana na virusi vya corona.
“Naweza kuzungumza kwa utofauti kidogo, wengine mnaona au kusikia kwenye habari lakini Mimi nimeondokewa na Mtu ambae alikua Rafiki wa karibu kabisakabisa”
“Swala la corona sio kama wengine wanavyolichukulia kimzaha, Mgonjwa wa kwanza alieondoka na corona Iddi Mbita ni Mtu ambae tumekua pamoja, tumekua nae, ni time ya kujilinda hakuna mzaha kwenye hili

No comments