Harmonize Balozi Mpya wa CRDB Bank. Kijana anachanja mbuga asee
Unaambiwa Mwanamuziki Harmonize ndio balozi Mpya wa benki maarufu Tanzania CRDB Bank.
Thanks @crdbbankplc I'm proud 2B Part of the Family š Special Thanks (KONDE MUSIC WORLDWIDE) @kondegang I know we are Jus beginning But we Thanks God For This...!!! Alhamdulilah More Coming..!! Yeee....!!!! I'm CRDB BANK BRAND AMBASSADOR šš Oda Toka Jeshini...!!! Mbugani...!!!! Wanangu Wote...!!! Tuna Bank Na @crdbbankplc #popoteinatiki
Haya siyo mafanikio ya kubeza asee. Huyu jamaa anakoelekea hamtokaa muamini.
No comments