H-Baba Azidi Kuwakalia Shingoni WCB "Wanakaa Kwenye Nyumba Mbovu"
Kauli Hii ya H-Baba Imekuja Baada ya Video Ya Bedroom ya HarmonizeTz Kuzuiliwa Kutazamwa na Watu Chini ya Miaka 18, Kwaio Anasema Bado Ipo Bedroom Remix Nayo ni Hatari Sana, Wameifungia Original Kwa Vitina za Watu Frani Sisi Hatuna Shida, Bado Tunapeta HarmonizeTz Yupo Juu Huwezi Fananishwa na Taka Taka Yoyote Hapa Tanzania.
No comments