VIDEO: Polepole Atinga Kisutu Kumnusuru Mashinji Badaa ya Kupelekwa Gerezani
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Humphrey PolePole leo Machi 11 ametinga viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam kufuatilia utaratibu kwa ajili ya kumlipia faini mwanachama wa chama hicho Dkt. Vicent Mashinji baada ya kuhukumiwa kulipa faini ya shilingi 30 milioni au kwenda jela miezi mitano.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:
No comments