PAUL Makonda Agawa Namba ya Simu Kuokoa Vipigo Kwenye ndoa
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul makonda ametoa namba zake za simu ili wanawake wote walio ndani ya mkoa wake kutoa taarifa za unyanyasaji wa kijinsi ndani ya ndoa zao ili waweze kupata msaada ya kisheria haraka
Makonda ametoa namba hiyo kwenye maazimisho ya siku ya wanawake dunia alipoalikwa kutoa ujumbe kwenye moja ya makungamano huku akihaidi kula sahani moja na wanaume waonyanyasa wake zao
“Kuanzia leo mwanaume yeyote atakayempiga mke wake nitakula naye sahani moja, chukueni namba yangu 0682009009 pigeni simu halafu kazi niachieni mimi” Paul Makonda, RC Dar es Salaam
No comments