Not Me! Kipusa Katika VIDEO ya Wimbo wa Diamond ‘Jeje’ Akanusha Kuwa Katika Uhusiani na Staa Huyo
Wimbo mpya wa msanii wa Bongo Diamond Platnumz Jeje ulifika na kishindo na Donna kumuacha baada ya video ya wimbo huo kutolewa .
Kuna uvumi kwamba Tanasha alitengana na msanii huyo wa Tanzania baada ya Simba kwenda ulaya na mwanadada aliyeshirikishwa katika wimbo wa jeje kwa jina malaika . Tangia wakati huo Tanasha amekuwa akiandika posti za kumshambulia Diamond katika mitandao ya kijamii . Malaika hata hivyo amekanusha kumpokonya Tansha penzi la Diamond na kuandika ;
“Muhimu ni uhai nashukuru ninao sijakufa…ila kuhusu mapenzi sitaki shobo nimeyakuta…”
Katika posti nyingine aliandika ;
Shakespeare was right, « Love looks not with the eyes but with the mind, and therefore is winged Cupid painted blind.HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Tanasha alitoka Tanzania baada ya uvumi kuzuka kwamba wawili hao wametengana na sasa anaangazia muda wake kuimarisha taaluma yake ya muziki .
No comments