Mpenzi wa Zamani wa Diamond Lyyn, Afichua Hali yake ya HIV
Irene Louis al maarufu Official Lyyn amefichua hali yake ya HIV mtandaoni kwa wafuasi .Vipimo vilionyesha kwamba hana ukimwi .
Hata hivyo hatua yake ya kuyaweka matokeo ya hali yake mtandaoni yamezua maoni mbali mbali huku baadhi ya wafuasi wakisema kwamba hatua hiyo haikufaa ilhali wangine wakimtetea kwa kusema kwamna ni njia moja ya kuwahimiza watu kwenda kupimwa ili kujua hali zao .Lyyn wakati mmoja alikuwa mwanadensi wa Diamond katika video zake za muziki na aligonga vichwa vya habari kwa kupiga picha akiwa katika kitanda cha msanii huyo .
Msanii huyo baadaye alidai kwamba kitanda hicho hakikuwa chake bali ni vitanda vinavyofanana . Wakati wa Birthday mwaka jana Lyyn alipokea zawadi ya gari kutoka ‘mtu asiyejulikana’ na ukazagaa uvumi kwamba aliyempa zawadi hiyo alikuwa Diamond .
“I stayed with him after the video shoot and we became lovers. He came home to introduce himself as a man who wants to marry me and so I left with him because I needed permission from my parents as I was a young girl”HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Mapema mwaka huu Lyyn alifichua kwamba alianza kuw akatika uhusiano na Diamond mwaka wa 2016 wakati ambapo Diamond alikuwa katika uhusiano na Zari . Alisema msanii huyo alikuwa na mpango wa kumuoa na hata akamtambulisha kwa wazazi wake lakini waliachana baadaye .
No comments