Be careful… Diamond Atawapa tu Machozi,you Will Never be Bappy-Tanasha Atoa Tahadhari
Tanasha Donna sasa anazungumza na kuandika kila kitu kuhusu uhusiano na anaweza kutumika kama mtaalam wa kuwapa himizo waliosalitiwa na mapenzi .
Hii ni baada ya mrembo huyo wa Kenya kuchana na msanii wa Bongo Diamond Platnumz. Tanasha amekuwa akiwatahadharisha wanawake mtandaoni kupitia posti zake kuhusu masuala ya mahusiano na katika mojawapo ya posti zake amesema hayuko tayari kujipata katika uhusiano na macelebs wa kiume tena.
Diamond azungumza kuhusu kutengana na Tanasha-Awashukuru ‘Zari, Hamisa na Tanasha’
Ameonekana kumpiga moja Diamond akidai kwamba nyota huyo wa Bongo hajui jinsi ya kuwafurahisha wanawake ,aliandika
Katika posti nyingine aliwaonya wanawake dhidi ya kuhadaiwa na muonekano wa wanaume kabla ya kutumbukia katika mapenzi nao.
Not Me! Kipusa katika video ya wimbo wa Diamond ‘Jeje’ Akanusha kuwa katika uhusiani na staa huyo .
Tanasha alitengana na Diamond wiki moja iliyopita baada ya staa huyo kudaiwa kuhusika kimapenzi na mwanadensi aliyeshirikishwa kwenye video ya wimbo Jeje . Katika ujumbe mwingine alioandika katika instagram Tanasha alisema .

@BONFIRE, YOU SURE KNOW HOW TO MAKE A WOMAN FEEL LIKE A QUEEN. HAPPY WOMEN’S DAY TO ALL THE STRONG FEARLESS POWERFUL WOMEN IN THE WORLD. 🌊❤️; SHE POSTED.
Katika posti nyingine aliwaonya wanawake dhidi ya kuhadaiwa na muonekano wa wanaume kabla ya kutumbukia katika mapenzi nao.
PAY ATTENTION. EVEN SALT LOOKS LIKE SUGAR,’ AliandikaHIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Not Me! Kipusa katika video ya wimbo wa Diamond ‘Jeje’ Akanusha kuwa katika uhusiani na staa huyo .
Tanasha alitengana na Diamond wiki moja iliyopita baada ya staa huyo kudaiwa kuhusika kimapenzi na mwanadensi aliyeshirikishwa kwenye video ya wimbo Jeje . Katika ujumbe mwingine alioandika katika instagram Tanasha alisema .
WHEN PEOPLE WRONG YOU NEVER WRONG THEM BACK. YOU CAN ONLY FIGHT EVIL WITH GOOD. YOU WILL SLEEP BETTER AT NIGHT KNOWING ALL ALONG YOU WERE REAL, GENUINE, LOYAL AND NOT FAKE, AS YOU SIT BACK AND RELAX FOR THEIR KARMA TO HIT THEM.
No comments