Mnara Kujengwa Waliokufa Kwa Ajali ya Lori la Mafuta Msamvu
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameuruhusu uongozi wa mkoa wa Morogoro kujenga mnara wa majina ya waliofariki katika ajali ya moto ya Lori la mafuta iliyotokea Agosti 10, 2019 katika eneo la Msamvu baada ya kuridhishwa na hatua ya ujenzi wa uzio wa makaburi hayo katika Makaburi ya Kola mjini Morogoro utakaogharimu zaidi ya shilingi milioni
No comments