Header Ads

Header ADS

John Mnyika "Natamani ingekua Hukumu Dhidi ya Aliyempiga Risasi Akwilina"


John Mnyika

Leo March 10 Mahakama ya Kisutu ikitarajiwa kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi, haya ndiyo ameyaandika Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.

“Natamani leo ingekuwa siku ya hukumu dhidi ya aliyempiga risasi Akwilina au hukumu dhidi ya mkurugenzi aliyekwepa kutoa viapo vya mawakala lakini ikitokea hukumu kama ile ya Pilato kwa hofu ya Kaizari itakuwa ni sehemu ya safari ya ukombozi, msirudi nyuma” – John Mnyika


Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Peter Msigwa na Vicent Mashinji.



No comments

Powered by Blogger.