Header Ads

Header ADS

BREAKING: Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu Ajiondoa CHADEMA, Akumbatia UBUNGE


Leo Machi 29, 2020 Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Calist Komu Ametangaza Kutogombea Ubunge katika uchaguzi mkuu 2020 kupitia CHADEMA badala yake atajiunga na NCCR – Mageuzi kwa kile alichodai kukosekana kwa uhuru wa kutoa maoni katika Chama chake cha sasa.

Akizungumza na waandishi wa Habari katika Hotel ya Nepherland Magomeni Jijini Dar es salaam, Komu amedai kuwa anaamini Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) kitatumia busara kumuacha amalizie majukumu yake ya kibunge kwa muda uliobakia kwani bado anahitaji kuwatumikia wananchi wake.



No comments

Powered by Blogger.